Quantcast
Channel: TZhiphop » Artist of The Week
Browsing all 10 articles
Browse latest View live

FidStyle Friday… Mecco South!

FidStyle Friday bado iko Rap City. Wiki hii Mwanza inawakilishwa na Mecco South: Kad Go, Malle, Roland na Biznea! Ukiacha kuchana, wanatupa undani wa kitabu “Chuo Kikuu Cha Hip Hop” kilichoandikwa na...

View Article


All Arusha Cypher #1

Huu ni mtiririko wa vilinge vitatu vya wasanii mbalimbali kutoka Arusha: JCB, Bou Nako, Vatoloco, FBG, Bad Taito, Daz Naledge, Chabba, Chalii, Yung Omega, Dogo Tundu na wengine wengi. Ya kwanza ina...

View Article


FidStyle Friday with RAGE

It’s all about Rage this week! On top of bars, Rage chats with Fid Q about different social issues, raging from albino killings, to police breaking laws, and being an emcee. He also shares a personal...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

FidStyle Friday ya STAMINA!

Wiki hii tupo Moro kwenye FidStyle Friday. Stamina anayewakilisha kundi la ‘Mtu Chee’ pamoja na Racers Studio amebariki kinasa sauti na picha cha CheusiDawa TV kwa ustadi wake. Kwa wale wapenzi wa...

View Article

Kad Go ndani ya FidStyle Friday!

Baada ya kufanya kweli akiwa na wenzake kutoka Mecco South (Mwanza), wengi waliomba Kad Go arudishwe na apewe muda zaidi! Fid Q hakusita… Kad Go akarudi na kufanya kile ambacho wengi walitegemea —...

View Article


JCB ndani ya FidStyle Friday

Baada ya Cliff Mitindo kuwakilisha Migo Migo, wiki iliyofuata ilikuwa ni ya mkongwe JCB. Wanaomfahamu vizuri JCB nadhani watashauri ujiandae kupokea hadithi za kitaa kama zilivyo. Kama Mejah wa Wachata...

View Article

Kalapina ndani ya FidStyle Friday

Kikosi cha Mizinga ni mojawapo ya makundi muhimu mno ambayo yamekuwa yakiendelea kuwa na sauti muhimu kwenye medani ya Hip Hop Tanzania, huku wakiwa wameegemea zaidi kwenye kuwasilisha vilio vya watu...

View Article

One on One: Raiza Biza

Raiza Biza — coming from Rwanda, currently based in New Zealand — who has been dreaming something lately and getting prepared to share the stage with Blu and Exile very soon, dropped by to chop it up...

View Article


Nikki Mbishi ndani ya FidStyle Friday

Hiki ni kipindi cha 30 tangu maneno “FidStyle Friday” yalipoanza kusambaa kwenye mtandao. Katika kusheherekea hatua hii muhimu, ni vyema kuangalia kilichokuwa kinajiri awali. Nikki Mbishi alikuwa ni...

View Article


Watengwa 2 France, Musical Safari

Watengwa‘s highly anticipated album, Ni Full Ile Laana Vol. 2, is about to hit the stores (be on the look out for the exact date). The album was recorded, mixed and mastered in Paris, France, during...

View Article
Browsing all 10 articles
Browse latest View live